summaryrefslogtreecommitdiff
path: root/languages/messages/MessagesSw.php
blob: 5f14da47a9a3561b648635a3cd71fe1d73b2d297 (plain)
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
209
210
211
212
213
214
215
216
217
218
219
220
221
222
223
224
225
226
227
228
229
230
231
232
233
234
235
236
237
238
239
240
241
242
243
244
245
246
247
248
249
250
251
252
253
254
255
256
257
258
259
260
261
262
263
264
265
266
267
268
269
270
271
272
273
274
275
276
277
278
279
280
281
282
283
284
285
286
287
288
289
290
291
292
293
294
295
296
297
298
299
300
301
302
303
304
305
306
307
308
309
310
311
312
313
314
315
316
317
318
319
320
321
322
323
324
325
326
327
328
329
330
331
332
333
334
335
336
337
338
339
340
341
342
343
344
345
346
347
348
349
350
351
352
353
354
355
356
357
358
359
360
361
362
363
364
365
366
367
368
369
370
371
372
373
374
375
376
377
378
379
380
381
382
383
384
385
386
387
388
389
390
391
392
393
394
395
396
397
398
399
400
401
402
403
404
405
406
407
408
409
410
411
412
413
414
415
416
417
418
419
420
421
422
423
424
425
426
427
428
429
430
431
432
433
434
435
436
437
438
439
440
441
442
443
444
445
446
447
448
449
450
451
452
453
454
455
456
457
458
459
460
461
462
463
464
465
466
467
468
469
470
471
472
473
474
475
476
477
478
479
480
481
482
483
484
485
486
487
488
489
490
491
492
493
494
495
496
497
498
499
500
501
502
503
504
505
506
507
508
509
510
511
512
513
514
515
516
517
518
519
520
521
522
523
524
525
526
527
528
529
530
531
532
533
534
535
536
537
538
539
540
541
542
543
544
545
546
547
548
549
550
551
552
553
554
555
556
557
558
559
560
561
562
563
564
565
566
567
568
569
570
571
572
573
574
575
576
577
578
579
580
581
582
583
584
585
586
587
588
589
590
591
592
593
594
595
596
597
598
599
600
601
602
603
604
605
606
607
608
609
610
611
612
613
614
615
616
617
618
619
620
621
622
623
624
625
626
627
628
629
630
631
632
633
634
635
636
637
638
639
640
641
642
643
644
645
646
647
648
649
650
651
652
653
654
655
656
657
658
659
660
661
662
663
664
665
666
667
668
669
670
671
672
673
674
675
676
677
678
679
680
681
682
683
684
685
686
687
688
689
690
691
692
693
694
695
696
697
698
699
700
701
702
703
704
705
706
707
708
709
710
711
712
713
714
715
716
717
718
719
720
721
722
723
724
725
726
727
728
729
730
731
732
733
734
735
736
737
738
739
740
741
742
743
744
745
746
747
748
749
750
751
752
753
<?php
/** Swahili (Kiswahili)
 *
 * @addtogroup Language
 *
 * @author לערי ריינהארט
 * @author Siebrand
 * @author Robert Ullmann
 * @author Malangali
 * @author Nike
 * @author SPQRobin
 */$messages = array(
# User preference toggles
'tog-hideminor' => 'Ficha mabadilisho madogo ya hivi karibuni',

# Dates
'sunday'    => 'Jumapili',
'monday'    => 'Jumatatu',
'tuesday'    => 'Jumanne',
'wednesday'   => 'Jumatano',
'thursday'   => 'Alhamisi',
'friday'    => 'Ijumaa',
'saturday'   => 'Jumamosi',
'sun'      => 'Jpili',
'mon'      => 'Jtatu',
'tue'      => 'Jnne',
'wed'      => 'Jtano',
'thu'      => 'Alham',
'fri'      => 'Iju',
'sat'      => 'Jmosi',
'january'    => 'Januari',
'february'   => 'Februari',
'march'     => 'Machi',
'april'     => 'Aprili',
'may_long'   => 'Mei',
'june'     => 'Juni',
'july'     => 'Julai',
'august'    => 'Agosti',
'september'   => 'Septemba',
'october'    => 'Oktoba',
'november'   => 'Novemba',
'december'   => 'Desemba',
'january-gen'  => 'Januari',
'february-gen' => 'Februari',
'march-gen'   => 'Machi',
'april-gen'   => 'Aprili',
'may-gen'    => 'Mei',
'june-gen'   => 'Juni',
'july-gen'   => 'Julai',
'august-gen'  => 'Agosti',
'september-gen' => 'Septemba',
'october-gen'  => 'Oktoba',
'november-gen' => 'Novemba',
'december-gen' => 'Desemba',
'jan'      => 'Jan',
'feb'      => 'Feb',
'mar'      => 'Machi',
'apr'      => 'Apr',
'may'      => 'Mei',
'jun'      => 'Juni',
'jul'      => 'Julai',
'aug'      => 'Ago',
'sep'      => 'Sep',
'oct'      => 'Okt',
'nov'      => 'Nov',
'dec'      => 'Des',

# Bits of text used by many pages
'categories'      => 'Jamii',
'category_header'    => 'Makala katika jamii "$1"',
'subcategories'     => 'Vijamii',
'category-media-header' => 'Picha, video, na sauti katika jamii "$1"',
'category-empty'    => "''Jamii hii haina ukurasa, picha, video, wala sauti yoyote.''",

'about'     => 'Kuhusu',
'article'    => 'Makala',
'newwindow'   => '(Itafungua kwa dirisha jipya)',
'cancel'     => 'Batilisha',
'qbfind'     => 'Gundua',
'qbedit'     => 'Hariri',
'qbspecialpages' => 'Kurasa za pekee',
'mytalk'     => 'Majadiliano yangu',
'navigation'   => 'Safari',

'errorpagetitle'  => 'Hitilafu',
'returnto'     => 'Rudia $1.',
'tagline'      => 'Kutoka {{SITENAME}}',
'help'       => 'Msaada',
'search'      => 'Tafuta',
'searchbutton'   => 'Tafuta',
'go'        => 'Nenda',
'searcharticle'   => 'Nenda',
'history'      => 'Historia ya ukurasa',
'history_short'   => 'Historia',
'printableversion' => 'Ukarasa kwa kuchapa',
'permalink'     => 'Kiungo cha daima',
'edit'       => 'Hariri',
'editthispage'   => 'Hariri ukurasa huu',
'delete'      => 'Futa',
'deletethispage'  => 'Futa ukurasa huo',
'protect'      => 'Linda',
'unprotectthispage' => 'Ondoa tunzo la ukarasa',
'newpage'      => 'Ukurasa mpya',
'talkpage'     => 'Jadilia ukarasa huu',
'talkpagelinktext' => 'Majadiliano',
'specialpage'    => 'Ukarasa maalumu',
'personaltools'   => 'Vifaa binafsi',
'talk'       => 'Majadiliano',
'views'       => 'Mitazamo',
'toolbox'      => 'Vifaa',
'userpage'     => 'Ukurasa wa mtumiaji',
'otherlanguages'  => 'Lugha nyingine',
'redirectedfrom'  => '(Elekezwa kutoka $1)',
'redirectpagesub'  => 'Elekeza ukurasa',
'lastmodifiedat'  => 'Ukarasa huu umebadilisha mara iliyopita tarehe $1, saa $2.', # $1 date, $2 time
'jumpto'      => 'Rukia:',
'jumptonavigation' => 'urambazaji',
'jumptosearch'   => 'tafuta',

# All link text and link target definitions of links into project namespace that get used by other message strings, with the exception of user group pages (see grouppage) and the disambiguation template definition (see disambiguations).
'aboutsite'     => 'Kuhusu {{SITENAME}}',
'aboutpage'     => 'Project:Kuhusu',
'bugreports'    => 'Simulia tatizo',
'bugreportspage'  => 'Project:Taarifa za hitilafu',
'copyright'     => 'Yaliyomo yafuata $1.',
'copyrightpage'   => '{{ns:project}}:Hatimiliki',
'currentevents'   => 'Matukio ya hivi karibuni',
'currentevents-url' => 'Project:Matukio ya hivi karibuni',
'disclaimers'    => 'Kanusho',
'disclaimerpage'  => 'Project:Kanusho kwa jumla',
'edithelp'     => 'Usaidizi kwa uhariri',
'edithelppage'   => 'Help:Usaidizi kwa uhariri',
'faq'        => 'Maswali ya kawaida',
'helppage'     => 'Msaada:Yaliyomo',
'mainpage'     => 'Mwanzo',
'portal'      => 'Jumuia',
'portal-url'    => 'Project:Jumuia',
'privacy'      => 'Sera ya faragha',
'privacypage'    => 'Project:Sera ya faragha',
'sitesupport'    => 'Michango',
'sitesupport-url'  => 'Project:Tuunge mkono',

'retrievedfrom'    => 'Rudishwa kutoka "$1"',
'youhavenewmessages' => 'Una ($2)$1.',
'newmessageslink'   => 'ujumbe mpya',
'newmessagesdifflink' => 'badiliko la mwisho',
'editsection'     => 'hariri',
'editold'       => 'hariri',
'editsectionhint'   => 'Hariri kipande: $1',
'toc'         => 'Yaliyomo',
'showtoc'       => 'fichua',
'hidetoc'       => 'ficha',
'site-rss-feed'    => '$1 tawanyiko la RSS',
'site-atom-feed'   => '$1 tawanyiko la Atom',
'page-rss-feed'    => '"$1" tawanyiko la RSS',

# Short words for each namespace, by default used in the namespace tab in monobook
'nstab-main'   => 'Makala',
'nstab-user'   => 'Ukurasa wa mtumiaji',
'nstab-project' => 'Ukurasa wa mradi',
'nstab-image'  => 'Faili',
'nstab-template' => 'Kigezo',
'nstab-help'   => 'Msaada',
'nstab-category' => 'Jamii',

# General errors
'error'     => 'Kosa',
'badtitle'    => 'Jina halifai',
'badtitletext'  => 'Jina la ukurasa ulilotaka ni batilifu, tupu, au limeungwa vibaya na jina la lugha nyingine au Wiki nyingine. Labda linazo herufi moja a zaidi ambazo hazitumiki katika majina.',
'viewsource'   => 'Tazama chanzo',
'viewsourcefor' => 'kwa $1',
'viewsourcetext' => 'Unaweza kutazama na kuiga chanzo cha ukurasa huu:',

# Login and logout pages
'loginpagetitle'    => 'Kuingia kwa watumiaji',
'yourname'       => 'Jina la mtumiaji:',
'yourpassword'     => 'Nywila',
'yourpasswordagain'   => 'Andika tena neno la siri',
'remembermypassword'  => 'Nikumbuke katika tarakilishi hii',
'loginproblem'     => '<b>Tatizo limetokea wakati ulipojaribu kuingia.</b><br />Jaribu tena!',
'login'         => 'Ingia',
'loginprompt'      => 'Lazima kompyuta yako ipokee [[kuki]] ili uweze kuingia kwenye {{SITENAME}}.',
'userlogin'       => 'Ingia/ sajili akaunti',
'logout'        => 'Toka',
'userlogout'      => 'Toka',
'notloggedin'      => 'Hujajiandikisha',
'nologin'        => 'Huna akaunti kuingia? $1',
'nologinlink'      => 'Sajili akaunti',
'createaccount'     => 'Sajili akaunti',
'gotaccount'      => 'Unayo akaunti tayari? $1',
'gotaccountlink'    => 'Ingia',
'badretype'       => 'Maneno uliyoyaandika ni tofauti.',
'youremail'       => 'Barua pepe yako:',
'yourrealname'     => 'Jina lako halisi:',
'prefs-help-realname'  => 'Jina la kweli si lazima. Ukichagua kutaja jina lako hapa, litatumiwa kuonyesha kwamba ndiyo ulifanya kazi unayochangia.',
'loginerror'      => 'Kosa la kuingia',
'nocookiesnew'     => "Umesajiliwa, lakini bado hujaingizwa. {{SITENAME}} inatumia ''kuki'' ili watumiaji waingizwe. Kompyuta yako inazuia ''kuki''. Tafadhali, ondoa kizuizi hicho uingie kwa kutumia jina mpya na neno la siri.",
'nocookieslogin'    => '{{SITENAME}} inatumia [[kuki]] ili watumiaji waweze kuingia. Kompyuta yako inakataa kupokea kuki. Tafadhali, ondoa kizuizi hicho, baadaye jaribu tena.',
'loginsuccesstitle'   => 'Umefaulu kuingia',
'loginsuccess'     => "'''Umeingia {{SITENAME}} kama \"\$1\".'''",
'nosuchuser'      => 'Hakuna mtumiaji mwenye jina "$1". Labda umeandika vibaya, au sajili akaunti mpya.',
'nosuchusershort'    => 'Hakuna mtumiaji mwenye jina "<nowiki>$1</nowiki>". Labda umeandika vibaya.',
'nouserspecified'    => 'Lazima uandike jina la mtumiaji.',
'wrongpassword'     => 'Umeingiza nywila ya makosa. Jaribu tena.',
'wrongpasswordempty'  => 'Nywila ilikuwa tupu. Jaribu tena.',
'passwordtooshort'   => 'Nywila yako haifai. Ni lazima iwe na herufi $1 au zaidi, na inabidi nywila na jina la mtumiaji ziwe tofauti.',
'mailmypassword'    => 'Nitume nywila kwa barua pepe',
'passwordremindertitle' => 'Nywila mpya ya muda kwa {{SITENAME}}',
'passwordremindertext' => 'Mtu mmoja (yamkini wewe, kutoka anwani ya IP $1)
ambaye ameulizia nywila mpya kwa {{SITENAME}} ($4).
Nywila kwa mtumiaji "$2" sasa ni "$3".
Inatakiwa uingie na ubadilishe nywila yako sasa.

Kama mtu mwingine ametoa ombi hili au kama umekumbuka nywila yako na
umeamua kutoibadilisha, unaweza kupuuza ujumbe huu na
endelea kutumia nywila yako ya awali.',
'noemail'        => 'Hatuna anwani ya barua pepe kwa mtumiaji "$1".',
'passwordsent'     => 'Neno mpya la siri limeshatumia kwenye anwani ya baruapepe ya "$1".
Tafadhali, ingia baada ya kulipokea.',
'eauthentsent'     => 'Tumekutuma barua pepe ili kuhakikisha anwani yako.
Kabla ya kutuma barua pepe nyingine kwenye akaunti hiyo, itabidi ufuate maelezo katika barua utakayopokea,
kuthibitisha kwamba wewe ndiyo ni mwenye akaunti.',

# Edit page toolbar
'bold_sample'   => 'Matini ya koze',
'bold_tip'    => 'Matini ya koze',
'italic_sample'  => 'Matini ya italiki',
'italic_tip'   => 'Matini ya italiki',
'link_sample'   => 'Jina la kiungo',
'link_tip'    => 'Kiungo cha ndani',
'extlink_sample' => 'http://www.mfano.com jina la kiungo',
'extlink_tip'   => 'Kiungo cha nje (kumbuka kuanza na http:// )',
'headline_sample' => 'Matini ya kichwa cha habari',
'headline_tip'  => 'Kichwa cha habari, saizi 2',
'math_sample'   => 'Ingiza formula hapa',
'math_tip'    => 'Formula ya kihesabu (LaTeX)',
'nowiki_sample'  => 'Weka matini bila fomati hapa',
'nowiki_tip'   => 'Puuza fomati ya Wiki',
'image_tip'    => 'Picha iliyotiwa',
'media_tip'    => 'Kiungo cha faili ya picha, video, au sauti',
'sig_tip'     => 'Sahihi yako na saa ya kusahihisha',
'hr_tip'     => 'Mstari wa mlalo (usitumie ovyo)',

# Edit pages
'summary'        => 'Muhtasari',
'subject'        => 'Kuhusu/kichwa cha habari',
'minoredit'       => 'Haya ni mabadiliko madogo',
'watchthis'       => 'Fuatilia ukurasa huu',
'savearticle'      => 'Hifadhi ukurasa',
'preview'        => 'Hakikisha',
'showpreview'      => 'Onyesha hakikisho la mabadiliko',
'showdiff'        => 'Onyesha mabadiliko',
'anoneditwarning'    => "'''Ilani:''' Wewe hujaingia rasmi kwenye tovuti. Anwani ya IP ya tarakilishi yako itahifadhiwa katika historia ya uhariri wa ukurasa huu.",
'summary-preview'    => 'Hakikisho la muhtasari',
'blockedtext'      => "<big>'''Jina lako la mtumiaji au anwani yako ya IP imezuiwa.'''</big>

Umezuiwa na $1. Sababu alitambua ni ''$2''

* Mwanzo wa uzuio: $8
* Mwisho wa uzuio: $6
* Aliyezuiwa: $7

Unaweza kuwasiliana na $1 au [[{{MediaWiki:Grouppage-sysop}}|mkabidhi]] kuzungumza uzuio.
Huwezi kutumia kipengele 'kumtuma mtumiaji barua pepe' ila anwani halisi ya barua pepe inapatikana katika
[[Special:Preferences|mapendekezo ya akaunti]] yako na hujazuiwa kuitumia.
Anwani yako ya IP ni $3, na namba ya uzuio ni #$5. Tafadhali taja namba hizi ukitaka kuwasiliana kuhusu uzuio huu.",
'loginreqtitle'     => 'Unatakiwa kuingia au kujisajili',
'accmailtitle'      => 'Neno la siri limeshakutumia.',
'accmailtext'      => "Neno la siri la '$1' limeshatumwa kwa $2.",
'newarticle'       => '(Mpya)',
'newarticletext'     => "Ukurasa unaotaka haujaandikwa bado. Ukipenda unaweza kuuandika wewe mwenyewe kwa kutumia sanduku la hapa chini (tazama [[{{MediaWiki:Helppage}}|Mwongozo]] kwa maelezo zaidi). Ukifika hapa kwa makosa, bofya kibonyezi '''back''' (nyuma) cha programu yako.",
'noarticletext'     => 'Ukurasa huu haujaandikwa bado. [[Special:Search/{{PAGENAME}}|tafutia jina hili]] katika kurasa nyingine au [{{fullurl:{{FULLPAGENAME}}|action=edit}} hariri ukurasa huu].',
'previewnote'      => '<strong>Hii ni hakikisho tu; mabadiliko hayajahifadhiwa bado!</strong>',
'editing'        => 'Kuhariri $1',
'editingsection'     => 'Unahariri $1 (kipande)',
'yourtext'        => 'Maandishi yako',
'editingold'       => '<strong>ANGALIA: Unakuwa unahariri nakala ya zamani ya ukurasa huu.
Ukiendelea kuihariri, mabadilisho yote yaliyofanywa tangu pale yatapotezwa.</strong>',
'copyrightwarning'    => 'Tafadhali zingatia kwamba makala yote ya {{SITENAME}} unayoyaandika yanafuata $2 (tazama $1 kwa maelezo zaidi).
Usipotaka maandishi yako yaweze kuharirishwa bure na kutolewa wakati wowote, basi usiyaandike hapa.<br />
Unakuwa unaahidi kwamba maandishi unayoyaingia ni yako tu, au uliyapata kutoka bure au ni mali ya watu wote. <strong>USITOLEE MAKALA YALIYOHIFADHIWA HAKI ZAO ZA KUTUMIWA BILA KUPATA RUHUSA HALALI!</strong>',
'longpagewarning'    => '<strong>ILANI: Urefu wa ukurasa huu ni kilobaiti $1; vivinjari kadhaa vinaweza kuwa na matatizo ukihariri ukurasa wenye urefu zaidi ya kb 32 hivi.
Tafadhali fikiria kuhusu kuvunja ukurasa kwa vipande vifupi.</strong>',
'protectedpagewarning'  => '<strong>ANGALIA: Ukurasa huu unakingwa kwa hiyo watumiaji wenye haki za wasimamizi tu wanaweza kuuhariri. Hakikisha kwamba unakuwa unafuata mwongozo wa kuhariri kurasa zinazokingwa.<strong>',
'templatesused'     => 'Vigezo vinavyotumiwa kwenye ukurasa huu:',
'templatesusedpreview'  => 'Vigezo vinavyotumiwa katika mandhari haya:',
'template-protected'   => '(kulindwa)',
'template-semiprotected' => '(ulindaji kwa kiasi)',
'nocreatetext'      => '{{SITENAME}} imebana uwezekano kutengeneza kurasa mpya. Unaweza kurudia na kuhariri kurasa zilizomo, au [[Special:Userlogin|ingia au anza akaunti]].',
'recreate-deleted-warn' => "'''Ilani: Unatengeneza tena ukurasa uliofutwa tayari.'''

Fikiria kama inafaa kuendelea kuhariri ukurasa huu.
Kumbukumbu ya kufuta ukurasa huu linapatikana hapa kukusaidia:",

# History pages
'viewpagelogs'    => 'Tazama kumbukumbu kwa ukurasa huu',
'currentrev'     => 'Kiungo cha daima',
'revisionasof'    => 'Sahihisho kutoka $1',
'revision-info'    => 'Sahihisho kutoka $1 na $2',
'previousrevision'  => '←Sahihisho lililotangulia',
'nextrevision'    => 'Sahihisho mpya zaidi?',
'currentrevisionlink' => 'Sahahisho ya sasa hivi',
'cur'         => 'sasa',
'last'        => 'kabla',
'page_first'     => 'ya kwanza',
'page_last'      => 'ya mwisho',
'histlegend'     => 'Chagua tofauti: tia alama katika vitufe redio kulinganisha matoleo, na bonyeza "enter" au kitufe hapo chini.<br />
Ufunguo: (sasa) = tofauti na toleo la sasa, (kabla) = tofauti na toleo lililotangulia, D = mabadiliko maDogo.',
'histfirst'      => 'Mwanzoni',
'histlast'      => 'Mwishoni',

# Revision feed
'history-feed-item-nocomment' => '$1 kwenye $2', # user at time

# Diffs
'history-title'      => 'Historia ya masahihisho ya "$1"',
'difference'       => '(Tofauti baina ya masahihisho)',
'lineno'         => 'Mstari $1:',
'compareselectedversions' => 'Linganisha matoleo mawili uliyochagua',
'editundo'        => 'tengua',
'diff-multi'       => '(Hatuonyeshi {{PLURAL:$1|sahihisho moja la katikati|masahihisho $1 ya katikati}}.)',

# Search results
'noexactmatch' => "'''Hakuna ukurasa wenye jina \"\$1\".''' Unaweza [[:\$1|kuanza ukurasa huu]].",
'prevn'    => '$1 iliyotangulia',
'nextn'    => '$1 ijayo',
'viewprevnext' => 'Tazama ($1) ($2) ($3)',
'powersearch' => 'Tafuta',

# Preferences page
'preferences'  => 'Mapendekezo',
'mypreferences' => 'Mapendekezo yangu',
'changepassword' => 'Badilisha neno la siri',
'skin'      => 'Sura',
'oldpassword'  => 'Neno la siri la zamani',
'newpassword'  => 'Neno mpya la siri',
'retypenew'   => 'Andika nywila tena:',

'grouppage-sysop' => '{{ns:project}}:Wakabidhi',

# User rights log
'rightslog' => 'Kumbukumbu ya vyeo vya watumiaji',

# Recent changes
'nchanges'            => '{{PLURAL:$1|badiliko|mabadiliko}} $1',
'recentchanges'         => 'Mabadiliko ya karibuni',
'recentchanges-feed-description' => 'Tumia tawanyiko hili kufuatilia mabadiliko yote ya hivi karibuni katika Wiki.',
'rcnote'             => "Yanayofuata {{PLURAL:$1|ni badiliko '''1'''|ni mabadiliko '''$1''' ya mwisho}} kutoka katika {{PLURAL:$2|siku iliyopita|siku '''$2''' zilizopita}}, hadi $3.",
'rcnotefrom'           => 'Hapo chini yaonekana mabadiliko tangu <b>$2</b> (tunaonyesha hadi <b>$1</b>).',
'rclistfrom'           => 'Onyesha mabadiliko mapya kuanzia $1',
'rcshowhideminor'        => '$1 mabadiliko madogo',
'rcshowhidebots'         => '$1 roboti',
'rcshowhideliu'         => '$1 watumiaji sasa',
'rcshowhideanons'        => '$1 watumiaji bila majina',
'rcshowhidepatr'         => '$1 masahihisho yanayofanywa doria',
'rcshowhidemine'         => '$1 masahihisho zangu',
'rclinks'            => 'Onyesha mabadiliko $1 yaliyofanywa wakati wa siku $2 zilizopita<br />$3',
'diff'              => 'tofauti',
'hist'              => 'hist',
'hide'              => 'Ficha',
'show'              => 'Onyesha',
'minoreditletter'        => 'd',
'newpageletter'         => 'P',
'boteditletter'         => 'r',

# Recent changes linked
'recentchangeslinked'     => 'Mabadiliko husika',
'recentchangeslinked-title'  => 'Mabadiliko kuhusiana na $1',
'recentchangeslinked-noresult' => 'Hakuna mabadiliko kwenye kurasa zilizounganishwa wakati wa muda huo.',
'recentchangeslinked-summary' => "Ukurasa maalum huu unaorodhesha mabadiliko ya mwisho katika kurasa zinazoungwa. Kurasa katika maangalizi yako ni za '''koze'''.",

# Upload
'upload'    => 'Pakia faili',
'uploadbtn'   => 'Pakia faili',
'uploadlogpage' => 'Kumbukumbu ya upakiaji',
'filedesc'   => 'Muhtasari',
'ignorewarning' => 'Hifadhi bila kujali maonyo yoyote.',
'uploadedimage' => ' "[[$1]]" imepakiwa',

# Image list
'imagelist'         => 'Orodha ya mafaili',
'filehist'         => 'Historia ya faili',
'filehist-help'       => 'Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.',
'filehist-current'     => 'sasa hivi',
'filehist-datetime'     => 'Tarehe/Saa',
'filehist-user'       => 'Mtumiaji',
'filehist-dimensions'    => 'Vipimo',
'filehist-filesize'     => 'Ukubwa wa faili',
'filehist-comment'     => 'Maoni',
'imagelinks'        => 'Viungo',
'linkstoimage'       => 'Kurasa hizi zimeunganishwa na faili hili:',
'nolinkstoimage'      => 'Hakuna kurasa zozote zilizounganishwa na faili hii.',
'sharedupload'       => 'Faili hii inaweza kushirikiwa na miradi mingine.',
'noimage'          => 'Hakuna faili yenye jina hili, $1 kama unayo.',
'noimage-linktext'     => 'pakia picha',
'uploadnewversion-linktext' => 'Pakia toleo jipya la faili hii',

# MIME search
'mimesearch' => 'Utafutaji wa MIME',

# List redirects
'listredirects' => 'Maelekezo',

# Unused templates
'unusedtemplates' => 'Vigezo ambavyo havitumiwi',

# Random page
'randompage' => 'Ukurasa wa bahati',

# Random redirect
'randomredirect' => 'Elekezo la bahati',

# Statistics
'statistics' => 'Takwimu',
'sitestats' => 'Takwimu za {{SITENAME}}',
'userstats' => 'Takwimu za watumiaji',

'disambiguations' => 'Kurasa za kuainisha maneno',

'doubleredirects' => 'Maelekezo mawilimawili',

'brokenredirects' => 'Maelekezo yenye hitilafu',

'withoutinterwiki' => 'Kurasa bila viungo kwenye lugha nyingine',

'fewestrevisions' => 'Kurasa zenye masahihisho machache kuliko zote',

# Miscellaneous special pages
'nbytes'         => '{{PLURAL:$1|baiti|baiti}} $1',
'nlinks'         => '{{PLURAL:$1|kiungo|viungo}} $1',
'nmembers'        => '{{PLURAL:$1|mtumiaji|watumiaji}} $1',
'lonelypages'       => 'Kurasa ambazo haziungwi kutoka ukurasa mwingine wowote',
'uncategorizedpages'   => 'Kurasa ambazo hazijawekwa katika jamii',
'uncategorizedcategories' => 'Jamii ambazo hazijawekwa katika jamii',
'uncategorizedimages'   => 'Picha ambazo hazijawekwa katika jamii',
'uncategorizedtemplates' => 'Vigezo ambavyo havijawekwa katika jamii',
'unusedcategories'    => 'Jamii ambazo hazitumiwi',
'unusedimages'      => 'Mafaili ambayo hayatumiwi',
'wantedcategories'    => 'Jamii zinazotakiwa',
'wantedpages'       => 'Kurasa zinazotakiwa',
'mostlinked'       => 'Kurasa zinazoungwa kuliko zote',
'mostlinkedcategories'  => 'Jamii zinazoungwa kuliko zote',
'mostlinkedtemplates'   => 'Vigezo vinavyoungwa kuliko zote',
'mostcategories'     => 'Jamii ambazo hazitumiwi',
'mostimages'       => 'Picha zinazoungwa kuliko zote',
'mostrevisions'      => 'Kurasa zenye masahihisho mengi kuliko zote',
'allpages'        => 'Kurasa zote',
'prefixindex'       => 'Kielezo cha viambishi awali',
'shortpages'       => 'Kurasa fupi',
'longpages'        => 'Kurasa ndefu',
'deadendpages'      => 'Kurasa ambazo haziungi na ukurasa mwingine wowote',
'protectedpages'     => 'Kurasa zinazolindwa',
'listusers'        => 'Orodha ya Watumiaji',
'specialpages'      => 'Kurasa maalum',
'spheading'        => 'Kurasa za pekee kwa watumiaji wote',
'newpages'        => 'Kurasa mpya',
'ancientpages'      => 'Kurasa za kale',
'move'          => 'Sogeza',
'movethispage'      => 'Sogeza ukurasa huu',

# Book sources
'booksources' => 'Vyanzo vya vitabu',

'alphaindexline' => '$1 hadi $2',
'version'    => 'Toleo',

# Special:Log
'specialloguserlabel' => 'Mtumiaji:',
'speciallogtitlelabel' => 'Kichwa:',
'log'         => 'Kumbukumbu',
'all-logs-page'    => 'Kumbukumbu zote',

# Special:Allpages
'nextpage'    => 'Ukurasa ujao ($1)',
'prevpage'    => 'Ukurasa uliotangulia ($1)',
'allpagesfrom'  => 'Onyesha kurasa zinazoanza kutoka:',
'allarticles'  => 'Kurasa zote',
'allpagessubmit' => 'Nenda',
'allpagesprefix' => 'Onyesha kurasa zenye kiambishi awali:',

# E-mail user
'emailuser' => 'Mtumie mtumiaji huyu barua pepe',

# Watchlist
'watchlist'      => 'Maangalizi yangu',
'mywatchlist'     => 'Maangalizi yangu',
'watchlistfor'     => "(kwa '''$1''')",
'addedwatch'      => 'Imeongezwa kwenye maangalizi yako',
'addedwatchtext'    => "Ukurasa \"[[:\$1]]\" umewekwa kwenye [[Special:Watchlist|maangalizi]] yako.
Mabadiliko katika ukurasa huo na ukurasa wake wa majadiliano utaonekana hapo,
na ukurasa utaonyeshwa wenye '''koze''' kwenye [[Special:Recentchanges|orodha ya mabadiliko ya karibuni]]
ili kukusaidia kutambua.

Ukitaka kufuta ukurasa huo kutoka maangalizi yako baadaye, bonyeza \"Acha kufuatilia\" katika mwamba pembeni.",
'removedwatch'     => 'Imefutwa kutoka maangalizi yako',
'removedwatchtext'   => 'Ukurasa "[[:$1]]" umefutwa kutoka maangalizi yako.',
'watch'        => 'Fuatilia',
'watchthispage'    => 'Fuatilia ukurasa huu',
'unwatch'       => 'Acha kufuatilia',
'watchlist-details'  => 'Unafuatilia {{PLURAL:$1|ukurasa $1|kurasa $1}} bila kuzingatia kurasa za majadiliano',
'wlshowlast'      => 'Onyesha kutoka masaa $1 siku $2 $3',
'watchlist-hide-bots' => 'Ficha masahihisho ya roboti',
'watchlist-hide-own'  => 'Ficha hariri zangu',
'watchlist-hide-minor' => 'Ficha mabadiliko madogo',

# Displayed when you click the "watch" button and it's in the process of watching
'watching'  => 'Unafuatilia...',
'unwatching' => 'Umeacha kufuatilia...',

# Delete/protect/revert
'deletepage'         => 'Futa ukurasa',
'historywarning'       => 'Ilani: Ukurasa unaotaka kufuta una historia yake:',
'confirmdeletetext'      => 'Wewe unategemea kufuta ukurasa pamoja na historia yake yote.
Tafadhali hakikisha kwamba unalenga kufanya hivyo, na kwamba unaelewa matokeo yake, na kwamba unafuata [[{{MediaWiki:Policy-url}}|sera]].',
'actioncomplete'       => 'Kitendo kimekwisha',
'deletedtext'         => '"<nowiki>$1</nowiki>" imefutwa. Ona $2 kwa historia ya kurasa zilizofutwa hivi karibuni.',
'deletedarticle'       => '"[[$1]]" ilifutwa',
'dellogpage'         => 'Kumbukumbu ya ufutaji',
'deletecomment'        => 'Sababu ya kufuta',
'deleteotherreason'      => 'Sababu nyingine:',
'deletereasonotherlist'    => 'Sababu nyingine',
'rollbacklink'        => 'rejesha',
'protectlogpage'       => 'Kumbukumbu ya ulindaji',
'confirmprotect'       => 'Hakikisha ukingo',
'protectcomment'       => 'Maoni:',
'protectexpiry'        => 'Itakwisha:',
'protect_expiry_invalid'   => 'Muda wa kwisha ni batilifu.',
'protect_expiry_old'     => 'Muda wa kuishi umepita tayari.',
'protect-unchain'       => 'Fungua ruhusa za kusogeza',
'protect-text'        => 'Unaweza kutazama na kubadilisha kiwango cha ulindaji hapa kwa ukurasa <strong><nowiki>$1</nowiki></strong>.',
'protect-locked-access'    => 'Akaunti yako hairuhusiwi kubadilisha viwango vya ulindaji.
Hivi ni vipimo kwa ukurasa <strong>$1</strong>:',
'protect-cascadeon'      => 'Ukurasa huu umelindwa kwa sababu umezingatiwa katika {{PLURAL:$1|ukurasa $1 unaolinda kurasa chini yake|kurasa $1 zinazolinda kurasa chini yake}}. Unaweza kubadilisha kiwango cha ulindaji wa ukurasa huu, lakini hutaathirika ulindaji kutoka kurasa juu yake.',
'protect-default'       => '(chaguo-msingi)',
'protect-fallback'      => 'Lazimisha ruhusa "$1"',
'protect-level-autoconfirmed' => 'Zuia watumiaji ambao hawajajisajilisha',
'protect-level-sysop'     => 'Wakabidhi tu',
'protect-summary-cascade'   => 'ulindaji kwa kurasa chini yake',
'protect-expiring'      => 'itakwisha $1 (UTC)',
'protect-cascade'       => 'Linda kurasa zinazozingatiwa chini ya ukurasa huu',
'protect-cantedit'      => 'Huwezi kubadilisha kiwango cha ulindaji wa ukurasa huu, kwa sababu huruhusiwi kuuhariri.',
'restriction-type'      => 'Ruhusa:',
'restriction-level'      => 'Kiwango cha kizuio:',

# Undelete
'undeletebtn' => 'Rudisha',

# Namespace form on various pages
'namespace'   => 'Eneo la majina:',
'invert'     => 'Geuza uteuzi',
'blanknamespace' => '(Kuu)',

# Contributions
'contributions' => 'Michango ya watumiaji',
'mycontris'   => 'Michango yangu',
'contribsub2'  => 'Kwa $1 ($2)',
'uctop'     => '(juu)',
'month'     => 'Kutoka mwezi (na zamani zaidi):',
'year'     => 'Kutoka mwakani (na zamani zaidi):',

'sp-contributions-newbies-sub' => 'Kwa akaunti mpya',
'sp-contributions-blocklog'  => 'Kumbukumbu ya uzuio',

# What links here
'whatlinkshere'    => 'Viungo viungacho ukurasa huu',
'whatlinkshere-title' => 'Kurasa zilizounganishwa na $1',
'linklistsub'     => '(Orodha ya viungo)',
'linkshere'      => "Kurasa zifuatazo zimeunganishwa na '''[[:$1]]''':",
'nolinkshere'     => "Hakuna kurasa zilizounganishwa na '''[[:$1]]'''.",
'isredirect'     => 'elekeza ukurasa',
'istemplate'     => 'jumuisho',
'whatlinkshere-prev' => '{{PLURAL:$1|uliotangulia|$1 zilizotangulia}}',
'whatlinkshere-next' => '{{PLURAL:$1|ujao|$1 zijazo}}',
'whatlinkshere-links' => '? viungo',

# Block/unblock
'blockip'    => 'Zuia mtumiaji',
'ipboptions'  => 'Masaa 2:2 hours,siku 1:1 day,siku 3:3 days,wiki 1:1 week,wiki 2:2 weeks,mwezi 1:1 month,miezi 3:3 months,miezi 6:6 months,mwaka 1:1 year,milele:infinite', # display1:time1,display2:time2,...
'ipblocklist'  => 'Orodha ya anwani za IP na majina ya watumiaji kuzuiwa',
'blocklink'   => 'zuia',
'unblocklink'  => 'acha kuzuia',
'contribslink' => 'michango',
'blocklogpage' => 'Kumbukumbu ya uzuio',
'blocklogentry' => '[[$1]] imezuiwa mpaka $2 $3',

# Move page
'movepage'     => 'Sogeza ukurasa',
'movepagetext'   => "Fomu hapo chini itabadilisha jina la ukurasa,
na itasogeza historia yake yote katika jina jipya lile lile.
Jina la awali litakuwa elekezo hadi jina jipya.
Viungo vilivyounganishwa na ukurasa wa awali havitabadilishwa;
tafadhali tafutia maelekezo yenye hitilafu na maelekezo mawilimawili.
Wewe una madaraka kuhakikisha kwamba viungo viendelee
kuelekea vinapolengwa.

Uwe mwangalifu kwamba ukurasa '''hautasogezwa''' kama tayari
kuna ukurasa wenye jina jipya, ila ni tupu au ni maelekezo na
hauna historia ya kuhaririwa. Yaani unaweza kurudisha ukurasa
kwenye jina la awali ukikosa, na haiwezekani kufuta
ukurasa mwingine kwa nasibu.

<b>ILANI!</b>
Kusogeza ukurasa wenye wasomaji wengi kunaweza kuathirika
watumiaji wetu. Tafadhali hakikisha kwamba unaelewa
matokeo ya kitendo hiki kabla ya kuendelea.",
'movepagetalktext' => "Ukurasa wa majadiliano wa ukurasa huu utasogezwa pamoja yake
'''ila:'''
*tayari kuna ukurasa wa majadiliano (usiyo tupu) kwenye jina jipya, au
*ukifuta tiki katika kisanduku hapa chini.

Kama tayari kuna ukurasa au ukifuta tiki, itabidi usogeze au uunganishe ukurasa kwa mkono ukitaka.",
'movearticle'   => "Ukurasa wa majadiliano wa ukurasa huu utasogezwa pamoja yake '''ila:'''
*tayari kuna ukurasa wa majadiliano (usiyo tupu) kwenye jina jipya, au
*ukifuta tiki katika kisanduku hapa chini.

Kama tayari kuna ukurasa au ukifuta tiki, itabidi usogeze au uunganishe ukurasa kwa mkono ukitaka.",
'newtitle'     => 'Kuelekeza jina jipya:',
'move-watch'    => 'Fuatilia ukurasa huu',
'movepagebtn'   => 'Sogeza ukurasa',
'pagemovedsub'   => 'Umefaulu kusogeza ukurasa',
'movepage-moved'  => '<big>\'\'\'"$1" imesogezwa hadi "$2"\'\'\'</big>', # The two titles are passed in plain text as $3 and $4 to allow additional goodies in the message.
'articleexists'  => 'Tayari kuna ukurasa wenye jina hilo, au
jina ulilochagua ni batilifu.
Chagua jina lengine.',
'talkexists'    => "'''Ukurasa wenyewe ulisogezwa salama, lakini ukurasa wake wa majadiliano haujasogezwa kwa sababu tayari kuna ukurasa wenye jina lake. Tafadhali ziunganishe kwa mkono.'''",
'movedto'     => 'imesogezwa hadi',
'movetalk'     => 'Sogeza ukurasa wake wa majadiliano',
'talkpagemoved'  => 'Ukurasa wake wa majadiliano umesogezwa pia.',
'talkpagenotmoved' => 'Ukurasa wake wa majadiliano <strong>haujasogezwa</strong>.',
'1movedto2'    => '[[$1]] umesogezwa hapa [[$2]]',
'movelogpage'   => 'Kumbukumbu ya uhamiaji',
'movereason'    => 'Sababu:',
'revertmove'    => 'rejesha',

# Export
'export' => 'Hamisha kurasa',

# Namespace 8 related
'allmessages' => 'Ujumbe za mfumo',

# Thumbnails
'thumbnail-more' => 'Kuza',
'thumbnail_error' => 'Hitilafu kutengeneza picha ndogo: $1',

# Import log
'importlogpage' => 'Kumbukumbu ya kuingizwa',

# Tooltip help for the actions
'tooltip-pt-userpage'       => 'Ukurasa wangu',
'tooltip-pt-mytalk'        => 'Majadiliano yangu',
'tooltip-pt-preferences'     => 'Mapendekezo yangu',
'tooltip-pt-watchlist'      => 'Orodha ya kurasa unazofuatilia kwa mabadiliko',
'tooltip-pt-mycontris'      => 'Orodha ya michango yangu',
'tooltip-pt-login'        => 'Tunakushajisha kuingia, lakini siyo lazima.',
'tooltip-pt-logout'        => 'Toka',
'tooltip-ca-talk'         => 'Mazungumzo kuhusu makala',
'tooltip-ca-edit'         => 'Unaweza kuhariri ukurasa huu. Tafadhali tumia kitufe cha kuhakikisha kabla ya kuhifadhi.',
'tooltip-ca-addsection'      => 'Weka maoni yako kwenye majadiliano haya.',
'tooltip-ca-viewsource'      => 'Ukurasa huu umelindwa. Unaweza kutazama chanzo chake.',
'tooltip-ca-protect'       => 'Linda ukurasa huu',
'tooltip-ca-delete'        => 'Futa ukurasa huu',
'tooltip-ca-move'         => 'Sogeza ukurasa huu',
'tooltip-ca-watch'        => 'Fuatilia ukurasa huu kwenye maangalizi yako',
'tooltip-ca-unwatch'       => 'Futa ukurasa huu kutoka maangalizi yako',
'tooltip-search'         => 'Tafuta {{SITENAME}}',
'tooltip-n-mainpage'       => 'Tembelea Mwanzo',
'tooltip-n-portal'        => 'Kuhusu mradi, mambo unaweza kufanya, na mahali pa kugundua vitu',
'tooltip-n-currentevents'     => 'Maarifa kuhusu habari za siku hizi',
'tooltip-n-recentchanges'     => 'Orodha ya mabadiliko ya hivi karibuni katika Wiki.',
'tooltip-n-randompage'      => 'Onyesha ukurasa wa bahati',
'tooltip-n-help'         => 'Mahali pa kueleweshwa.',
'tooltip-n-sitesupport'      => 'Tuunge mkono',
'tooltip-t-whatlinkshere'     => 'Orodha ya kurasa zote za Wiki zilizounganishwa na ukurasa huu',
'tooltip-t-contributions'     => 'Tazama orodha ya michango kwa mtumiaji huyu',
'tooltip-t-emailuser'       => 'Mtumie mtumiaji huyu barua pepe',
'tooltip-t-upload'        => 'Pakia picha, video, au sauti',
'tooltip-t-specialpages'     => 'Orodha ya kurasa maalum zote',
'tooltip-ca-nstab-user'      => 'Tazama ukurasa wa mtumiaji',
'tooltip-ca-nstab-project'    => 'Tazama ukurasa wa mradi',
'tooltip-ca-nstab-image'     => 'Angalia ukurasa wa picha',
'tooltip-ca-nstab-template'    => 'Tazama kigezo',
'tooltip-ca-nstab-help'      => 'Tazama ukurasa wa msaada',
'tooltip-ca-nstab-category'    => 'Tazama ukurasa wa jamii',
'tooltip-minoredit'        => 'Tia alama kwamba hii ni badiliko dogo',
'tooltip-save'          => 'Hifadhi mabadiliko yako',
'tooltip-preview'         => 'Hakikisha mabadiliko yako, tafadhali fanya kabla ya kuhifadhi!',
'tooltip-diff'          => 'Onyesha mabadiliko uliyofanya kwenye makala.',
'tooltip-compareselectedversions' => 'Tazama tofauti baina ya matoleo mawili uliochagua ya ukurasa huu.',
'tooltip-watch'          => 'Fuatilia ukurasa huu kwenye maangalizi yako',

# Attribution
'siteuser' => '{{SITENAME}} mtumiaji $1',

# Spam protection
'subcategorycount'    => 'Kuna {{PLURAL:$1|kijamii kimoja|vijamii $1}} chini ya jamii hii.',
'categoryarticlecount'  => 'Kuna {{PLURAL:$1|ukurasa mmoja|kurasa $1}} katika jamii hii.',
'category-media-count'  => 'Kuna {{PLURAL:$1|faili moja|faili $1}} katika jamii hii.',
'listingcontinuesabbrev' => 'endelea',

# Browsing diffs
'previousdiff' => '←Tofauti kabla',
'nextdiff'   => 'Tofauti ijayo→',

# Media information
'file-info-size'    => '(piseli $1 × $2, saizi ya faili: $3, aina ya MIME: $4)',
'file-nohires'     => '<small>Hakuna saizi kubwa zaidi.</small>',
'svg-long-desc'    => '(faili ya SVG, husemwa kuwa piseli $1 × $2, saizi ya faili: $3)',
'show-big-image'    => 'Ukubwa wa awali',
'show-big-image-thumb' => '<small>Ukubwa wa hakikisho hili: piseli $1 x $2</small>',

# Special:Newimages
'newimages' => 'Mkusanyiko wa faili jipya',

# Bad image list
'bad_image_list' => 'Fomati ni hii:

Tunazingatia madondoo katika orodha (mistari inayoanza na *) tu. Inabidi kiungo cha kwanza katika mstari kiunge na picha mbaya.
Viungo vinavyofuata katika mstari ule ule vitaelewa kuwa mambo ya pekee, yaani kurasa zinazoruhusiwa kuonyesha picha hiyo.',

# Metadata
'metadata'     => 'Data juu',
'metadata-help'   => 'Faili hiil lina maarifa mengine, yamkini kutoka kemra au skana iliyotumiwa kulitengeneza au kuliandaa kwa tarakilishi. Kama faili imebadilishwa kutoka hali yake ya awali, inawezekana kwamba vipengele kadhaa vitakuwa tofauti kuliko hali ya picha sasa.',
'metadata-expand'  => 'Onyesha maarifa vinaganaga',
'metadata-collapse' => 'Ficha maarifa vinaganaga',
'metadata-fields'  => 'Nyuga za data juu za EXIF zinazoorodheshwa katika ujumbe huu
utazingatiwa kwenye ukurasa wa picha wakati jedwali la data juu
likifupishwa. Nyuga zingine zitafichwa kama chaguo-msingi.
* make
* model
* datetimeoriginal
* exposuretime
* fnumber
* focallength', # Do not translate list items

# External editor support
'edit-externally'   => 'Tumia programu ya nje kuhariri faili hii',
'edit-externally-help' => 'Ona [http://meta.wikimedia.org/wiki/Help:External_editors maelezo (kwa Kiingereza)] kwa maarifa mengine.',

# 'all' in various places, this might be different for inflected languages
'watchlistall2' => 'zote',
'namespacesall' => 'zote',
'monthsall'   => 'zote',

# Watchlist editing tools
'watchlisttools-view' => 'Tazama mabadiliko yanayohusiana',
'watchlisttools-edit' => 'Tazama na hariri maangalizi',
'watchlisttools-raw' => 'Hariri maangalizi ghafi',

);